Deuteronomy 23:21-23

21 aUkiweka nadhiri kwa Bwana Mwenyezi Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa Bwana Mwenyezi Mungu wako atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi. 22 bLakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia. 23 cChochote kitakachotamkwa kwa midomo yako ni lazima uhakikishe umekifanya, kwa sababu uliweka nadhiri yako kwa hiari mbele za Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa kinywa chako mwenyewe.

Copyright information for SwhKC